Monduli DC

Monduli DC

Kababi

Senior Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
168
Reaction score
38
Wanajamvi habari za weekend. Mimi ni Mwalimu wa shule ya msingi wilayani Mkuranga natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae nafasi aliyoko Monduli. Kwa mwenye utayari tuwasiliane kwa namba 0713059062/0767059062.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Vipi Mkoa wa Tabora unaenda ili mtu aje Mkuranga?
 
Hapana Mkuu Monduli ni kwa ajili ya familia.

Back
Top Bottom