natafuta kazi sales and marketing.

natafuta kazi sales and marketing.

neydaniel

New Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Hi,nina diploma ya marketing sina experience natafuta kazi ya sales and marketing,
 
Kazi za sales unazijua lakini au ndo unazisikia? Ukianza lazima wakutoe kamasi kwanza! Anyway peleka U track wanatafuta watu deadline nazani bado ila mboga yenyewe utaijua huko huko! We peleka wakufundishe kazi.
 
Bibie upo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom