CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Wadau, habari zenu?
Natafuta mwalimu wa kike awe anakuja nyumbani kuanzia J'3 - Ijumaa, saa mbili kila siku (yaani saa 10 kwa wiki). Mwalimu awe anajua Kiingereza na Kiswahili vizuri. Mtoto anatimiza miaka 3 mwz June, 2013. Mtoto anaweza kuwa anasoma/ anafundishwa pamoja na wengine wasiopungua wawili lkn wasiozidi watano ili ajifunze ushirikiano na wengine pia imsaidie kukumbuka vizuri pamoja na kuepuka upweke. Jan, 2014 nd'o nitampeleka nursery school atakapokuwa amefikisha miaka 3 na nusu. Niko Dar (mama yake na mtoto atakuwepo nyumbani almost 24/7 for supportive/ additive guidance.
Namba yangu ya cm ni 0763718328
N.B: Nahitaji mwalimu aanze kazi kuanzia trh 29 April, 2013 hadi Dec, 2013.