Ana bachelor of accountancy na amekuwa certified publick accountant module e

D

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
123
Likes
1
Points
33
D

Dinam

Senior Member
Joined Jan 19, 2011
123 1 33
Wana JF wenzangu huyu ni mwanangu kamaliza juzi CPA anasubiria matokeo naomba kwa yeyote anayefahamu mahali penye kazi itakayomfaa huyu mwanangu please naomba tusaidiane kwani kazi zimekuwa ngumu sana. Nimeona niwashirikishe najua sitakosa mawazo mazuri hapa. Naomba kwa wazoefu wa kupata kazi na wanaojua nafasi za kazi please tushirikiane tuokoe vijana wetu wasiingie kwenye majanga mabaya.
Nawatakia kazi njema
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,039
Likes
1,368
Points
280
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,039 1,368 280

Ushauri wangu wa haraka Bcom + CPA without any practical experience bado hatoweza kumudu mikikimikiki makazini. Sehemu za kazi wengi wao hawajathubutu kugusa hiyo mitihani ya CPA lakini wanafahamu wanachopaswa kufanya. Anapoajiriwa mtu mwenye CPA wafanyakazi wa zamani wanatabia ya kutokumwelekeza chochote kwa kisingizio si ana CPA afanye basi.

Ushauri wangu sehemu ambayo wako "willing" kufundisha kazi na mtu akaiva ni kampuni za ukaguzi. Mshauri atafute hata kazi za kujitolea kwenye audit firms atatoka haraka sana
 
D

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
123
Likes
1
Points
33
D

Dinam

Senior Member
Joined Jan 19, 2011
123 1 33
Ushauri wangu wa haraka Bcom + CPA without any practical experience bado hatoweza kumudu mikikimikiki makazini. Sehemu za kazi wengi wao hawajathubutu kugusa hiyo mitihani ya CPA lakini wanafahamu wanachopaswa kufanya. Anapoajiriwa mtu mwenye CPA wafanyakazi wa zamani wanatabia ya kutokumwelekeza chochote kwa kisingizio si ana CPA afanye basi.

Ushauri wangu sehemu ambayo wako "willing" kufundisha kazi na mtu akaiva ni kampuni za ukaguzi. Mshauri atafute hata kazi za kujitolea kwenye audit firms atatoka haraka sanaAsante sana ndugu huko ameshaomba anasubiri tu amejaribu ndugu yangu asante sana
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,039
Likes
1,368
Points
280
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,039 1,368 280
Asante sana ndugu huko ameshaomba anasubiri tu amejaribu ndugu yangu asante sana
Mimi niko Arusha kwenye audit firm nina volunteers kama wanne na kama unavyofahami msimu wa kazi ndio uko ukingoni kabisa
 
D

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
123
Likes
1
Points
33
D

Dinam

Senior Member
Joined Jan 19, 2011
123 1 33
Mimi niko Arusha kwenye audit firm nina volunteers kama wanne na kama unavyofahami msimu wa kazi ndio uko ukingoni kabisa

Nashukuru hebu nisaidie nifanyeje ndugu yangu naona wewe ni mtaalamu na unaelewa please help me mimi hata akipata wapi ataenda hana tatizo kila siku yupo kwenye internet anatafuta kazi ameapply sehemu nyingi tu huko tayari tunasubiria mungu aingilie kazi maana nayo ni bahati
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,367
Likes
10,015
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,367 10,015 280
Mwambie akajaribu kwenye Audit Firm tena afanye kwa kujitolea kwanza then muda mfupi wakipenda kazi yake wanamuajiri.Mwambie aende physically ABA-Alliance(Certified Public Accountant) pale Waterfront akaombe nafasi kutokana na wingi wa kazi msimu huu wanaweza kumfikiria.

Mwanzo mgumu apite physically kwenye Firm zingine pia.
 
T

Trance M

Senior Member
Joined
Jan 27, 2013
Messages
183
Likes
0
Points
0
T

Trance M

Senior Member
Joined Jan 27, 2013
183 0 0
Sijaelewa vizuri maelezo yako. Awali umesema mwanao amemaliza Module E na sasa anasubiri matokeo hivyo bado hajapata CPA.

Kama bado anasubiri matokeo angalizo ni kwamba mitihani ya bodi ipo tofauti kidogo na kufanya Masters ambapo ukishafanya unangojea kugraduate.

Kama amemaliza Module E mnaotoa comment msitoe comment as if mlengwa ana CPA. Ni kwamba amemaliza module E na amefanya module F mwezi May 2013 na kwa sasa anangojea matokeo ambayo kwa ujumla huwa hayatabiriki.

Mtoa mada tujulishe mlengwa ana CPA au anangojea matokeo ili apate CPA?

Nitatoa ushauri baada ya majibu.
 
B

BUBU MUONGEAJI

Member
Joined
May 15, 2013
Messages
44
Likes
0
Points
13
B

BUBU MUONGEAJI

Member
Joined May 15, 2013
44 0 13
Mtoa maada akumbuke kuwa kazi kwa hustler wa kweli si kuajiriwa tu. asubiri amalize Module F kwanza ndio ajiite ana CPA, ufauru wake pia kwa degree yake ya kwanza ikoje? maana bila matokeo mazuri ya basic (bachellor) then atasumbuka kidogo kupata kazi.
 
Forum statistics

Threads 1,274,326
Members 490,664
Posts 30,508,486