Kujiunga na jkt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiunga na jkt

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Maliselo, Jun 4, 2013.

 1. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habar? wadau msaada wenu mwenye any infor kuhusu nafasi za kujiunga na jkt, nlsikia nafasi zinaweza toka mwezi huu wa 6, pls mwenye infor yoyote kuhusu hilo
   
 2. Matokeo1

  Matokeo1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2013
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vuta subra mkuu, kuna wadau kibao tunazisubiria, ila tuwasubiri wadau wengine huku ambao wako jikoni watujulishe zaidi.
   
 3. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #3
  Jun 12, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka wametoa tembelea website yao hii http://www.jkt.go.tz utapata maelekezo
  Ila wamesema kuwa mnatakiwa kuriport makambini tarehe 24 mwezi huu alafu mtunze tiketi ili mkifika wawarudishie nauli zenu mara tu baada ya kuripoti vikosini!!!!!!!!!!!!!!kazi kwako kaka ziwahi hizi naso usije kukosa na hizi
  wishing you good success
   
 4. B

  BUNUNGULI Senior Member

  #4
  Jun 12, 2013
  Joined: Apr 4, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toeni maelezo kwa wanaohitimu vyuo vikuu mwezi huu,website haina tangazo la awamu la pili lipo lile la mwanzo
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2013
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,829
  Likes Received: 1,513
  Trophy Points: 280
  lipi hilo mkuu
   
 6. M

  Maliselo JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 236
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hili tangazo linawahusu wale wote watakaoenda kule kwa mujibu wa sheria tu na mtu asyereport atachukuliwa atua za ksheria, sis tunaitaj nafas za wale wa kujtolea
   
 7. M

  Massawe G. I Senior Member

  #7
  Jun 14, 2013
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  muda wa kozi ni miez ngapi?
   
 8. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #8
  Jun 14, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa vyuo sidhani kama wanachukua wametoa kwa formsix tu xo labda nawe utujuze ukisikia kwa vyuo kama watatoa au la xo we don have any info for those who are studyng by now in colleges/university to join an amry myn
   
 9. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #9
  Jun 14, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  miezi mitatu den unarudi.......................coz kwasasa wanafundisha uzalendo na nchi yako tu!!!!!!!!!!!!!
   
 10. mkwawa gabriel

  mkwawa gabriel Senior Member

  #10
  Jun 14, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani muda wa kuchukua wa kujitolea bado kwasasa wanampango na formsix tu xo labda jaribu kumuuliza mshauri wa mgambo aliye karibu nawe ndo atakupa majibu sahihi kabisa!!!!!!!!!!!kama na wakujitolea nao wanapaswa kwenda
   
 11. B

  BUNUNGULI Senior Member

  #11
  Jun 14, 2013
  Joined: Apr 4, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you sir
   
Loading...