Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wadau wa jf. Kwa mwenye updates za LAPF km wameshotlist watu wa interview tufahamishane.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
World Vision Tanzania is experiencing a rapid expansion of its operations due to increasing grants acquisition portfolio and greater interest from different development partners. As the result...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
hi!guyz huxuxan wanaofanya kazi za kujiajili jaman ndugu zangu,watanzania wenzangu,wanajf wenzangu, mxaada nina mil.2 jaman natakakufanyabiaxhara je ni biaxhara gan naweza fanya! Pls jaman naitaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ndugu wanabodi, nategemea kufungua photo studio size ya wastani. kwa sasa nataka kuanza kutengeneza ndani. kwa hiyo natafuta fundi atakayeweza kuni-design itakavyoonekana kwa ndani, aidha na kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa nimeajiriwa sehemu. Baada ya hapo nikaacha kazi, na mafao yangu nikachukua hapo NSSF. Nikakaa mtaani bila kazi kwa mwaka mmoja (nilienda kusoma). Baada ya hapo nikabadilisha jina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Update: We have already hired. This job post is closed We need someone to help with delivering correspondence to our clients. These are printed documents that need to be delivered physically...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mambo vipi wanajf, Nimekuwa na utamaduni daily lazima nicheck matangazo ya ajira utumishi. Mategemeo yangu nitakuta update zozote cha kushangaza hata tangazo la watu kuitwa job la May bado lipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JARIBU KUPITA NA HAPA ONA UTUMISHI WANANYINGINE KIDUCHU KWA WENYE SIFA ZAO JAMANI: MAFANIKIO MEMA:kev:
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, Namshukuru Mungu kunipenda na kunionesha fursa ya kuongeza kipato ambayo ningependa kuwashirikisha wale wote ambao wanahitaji mabadiliko katika maisha yao. Awali ya yote...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimesubiri sana na sikukata tamaaa hatimaye malengo yametimia na ajira nimepata sehemu nzuri itakayonijenga sio kazi mradi kazi muuangalie na kazi zitakazowafikisha mbali. Thanks God for everything
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Namtaka kijana yeyote mwenye Knowledge na Computer Basics ambaye atakuwa ananisaidia kufanya Biashara yangu ref:Unlimited Internet Vigezo vya elimu sitajari hali mradi anajua computer basics...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
napenda kuwapeni taarifa kuna nafasi mpya zimetangazwa !
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wana JF aliefanikiwa kwenda NBAA kuangalia matokeo kwa ajili ya Oral kesho naomba APOST majina humu kwani nimeshindwa kwenda kucheki NBAA kwa sabababu nipo mbali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu utumishi wameshatoa waraka wenye kuelekeza viwango vipya vya mishahara kwa mwaka huu naomba mwenye huo waraka atupe hapa asanteni.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Tanroad mkoa wa Njombe kuna kila dalili ya kuwaweka watu kutokana na kufahamiana na sio ujuzi na uwezo wa kufanya kazi. Hivyo naomba makao makuu muingilia kati hili zoezi la kuajiri kabla...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
StartReferralJob.com Earn 50$ daily by referring link to your friends :)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
people, Basically im looking for a purely sales lady/man who can be able to visit Hotels, Bars, Restaurants and sell our food, drinks and non food and drinks products, we are impoters and...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Green Bird College inatangaza nafasi tajwa hapo juu!! Mwombaji awe na angalau certificate ya Nursing, anayejituma na mwenye uwezo wa kujisimamia... Chuo kipo Mwanga-Kilimanjaro.. Maombi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Green Bird Education institutions inahitaji mwalimu kwa ajiri ya masomo tajwa hapo juu kwa A level na O level... Shule inapatikana wilayani Mwanga-Kilimanjaro!! Kwa mwenye sifa atume maombi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom