zimetoka tembelea http://www.jkt.go.tz utapata info ila uwahi kwani mnatakiwa tarehe 24 mwezi huu makambini na tiketi zenu mzitunze ili mkifika watawarudishia nauli zenuhey wakuu kunatangazo nimeliskia tbc leo usiku baada ya taarifa ya habari, sema nlikuta ndo linaishia ishia! Kuhusiana na nafas za jkt, kwa o.level.a.level na profesional! Mwenye full info asaidie wenzie! Tiririka!