Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau! Ninaomba kueleweshwa kitu kimoja ndugu zangu. 1. Hivi inapotokea nafasi za kazi zimetangazwa na unavigezo kwa zaidi ya nafasi 2 nakuendelea kwenye tangazo moja,je unaweza kuomba zote? (...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wasalaam!katika pitapita zangu katika website pendwa (www.ajira.go.tz)nimeona kuna posts mpya za ajira za july ,ninatumia simu sikuweza kuweka link hapa nilichoweza tu kufanya ni kutoa taarifa hii...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
0 Reactions
51 Replies
19K Views
Heshima kwenu GTs, nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali. ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Wana Jamvi, kuna jamaa yangu anatafuta meneja wa club ambayo ina function hall, guest house, jiko, parking ya magari kwa malipo na kuna disco kila ijumaa usiku. Hiyo club ipo Dar. Kwa yeyote...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Qualification; At least diploma in Librarian / record management. Experience of One year working in Broadcasting Industry. Excellent Computer application. Only those who will meet qualification...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anafahamu document ya majina ya watumishi waliohama july au june mwaka huu naomba anipe link wakuu.Nime jaribu kutafuta sijapata . regards.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Please follow the attachment for the posts.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za leo wana jf! Nimeamua kuendelea na shughuli zangu binafsi za uthamini "valuation" na Real estate agency kwa shughuli za valuation credit/loan officers ni wa muhimu sana kwani wao wana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani kuna chuo kikuu kimoja kiko mjini dodoma kinamtafuta assistant lecturer in Accounting and Finance haraka sana na mimi ndiye niliyetumwa kumtafuta mtu huyo mmoja! Sifa zinazotakiwa ni kuwa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
MAZHIM TANZANIA LIMITED tunahitaji fundi wa air condition and cold rooms wenye sifa zifuatazo 1) awe anachet cha ufundi(kutoka chuo chochote kinacho tambulika) 2) anajua ufundi wa ac za majumbani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
People and Culture Director | World Vision Tanzania Phone: Office +255 27 250 8850 Mobile: +255 789 000 477 or +255 754 295 756 | Fax: +255 27 27 250 8248 | E-mail: axel_malekia@wvi.org |...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnisaidie natafva kazi ktk workshop ya mtu au hata kampuni binafsi ambayo ina deal na utengezaji wa madirisha,milango na mageti ya chuma kwa kutumia mashine za kijerumani,kwani...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kwa waliopo Mkoa wa Dar es salaam Tu.!Inawahusu Zaidi.!wanatafutwa waudumu kumi wa Bar. SIFA ZA MUOMBAJI 1.Exprience isiyo pungua nusu Mwaka.kutoka Bar yoyote. 2.Elimu angalau darasa la...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Nafasi ya kazi MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION-IRINGA Mwisho wa application 16/07/2013. LINK http://www.muce.ac.tz/images/stories/TANGAZO%20LA%20KAZI.pdf
0 Reactions
2 Replies
2K Views
11 Common Interview Questions That Are Actually Illegal During job interviews, employers will try to gather as much information about you as possible, mostly through perfectly legal questioning...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kwa aliyefanyakazi au anayejua mshahara wa kuanzia kwa mwenye degree moja TFDA naomba anijuze asante. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
6K Views
A new entrepreneurship book entitled "SIRI YA UKOMBOZI WA MJASIRIAMALI - Vol 2" is in market for only Three Thousand (Tsh. 3,000/=) among its contents techniques to search new job is available...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam wakuu! Kwa yeyote mwenye kufahamu au mwenye kumiliki kampuni inayohusiana na mambo ya logistics, naomba msaada wa nafasi za field kwa ajili ya wadogo zangu wawili. Wanasoma NIT -...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau naulizia kwa yeyote anayefahamu kuhusiana na interview ya polisi kwa graduates wa mwaka huu itakuwa lini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom