mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 397
wadau naulizia kwa yeyote anayefahamu kuhusiana na interview ya polisi kwa graduates wa mwaka huu itakuwa lini?
Ukishajua Tarehe jiandae kujibu swali hili; Je ni namna gani nzuri ya kutekeleza amri ya Mh Waziri Mkuu Pinda ya WAPIGWE TU, NASEMA WAPIGWE!!?
Ukishindwa kujibu hilo swali jaribu kuwa mbunifu wa kutunga uwongo kama Chagonja coz kama Polisi wanatunga uongo wa kitoto vile ina maana ni rahisa sana na wao kudanganyika.