Fundi anahitajika

Fundi anahitajika

king'amuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
614
Reaction score
225
MAZHIM TANZANIA LIMITED tunahitaji fundi wa air condition and cold rooms wenye sifa zifuatazo
1) awe anachet cha ufundi(kutoka chuo chochote kinacho tambulika)
2) anajua ufundi wa ac za majumbani na magari
3) awe anajua kufunga mitambo ya baridi(cold rooms/chiller plants)
4)awe na uwezo wa kusikia na kuongea kiswahili na kiingereza
4)awe ni mkazi wa Daresalaam
5) awe na leseni ya udereva wa pikipiki na gari kwa pamoja

Tuma maombi yako kwa email mchauh@mazhimtanzania.com, simu no 0759271153

Lete maombi yako cv sinza mapambano jirani na double view hotel tunatazamana friendship pub

mwisho wa kuleta maombi ni Tarehe 16/07/2013 saa 11:00 jioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom