Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za jioni wandugu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi nimepata bahati ya kuitwa kwenye Interview ya shirika la Umeme Tanzania kesho, ila kinachonitatiza ni endapo nitaulizwa maswali...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Tunahitaji mwl wa nursery mwenye sifa zifuatazo; 1.awe fluent in English 2. awe raia wa nchi yoyote mwenye work permit 3.awe amesomea watoto wadogo 4.awe anaweza kujituma bila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I'm thirstly requesting to whoever knows or have any teaching vacancies of the above named subject,be O/A'level or collg
0 Reactions
24 Replies
4K Views
mimi ni mwalimu wa degree by professional, natafuta kazi ya kufundisha au kazi zingine zinazoendana na professional yangu, katika masomo yafuatayo, geograpgy na philosophy nilisoma (bachelor of...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22,ninaishi dar es salaam,ukweli nimemaliza form6 mwaka jana na kufaulu vizuri na kuwa na vigezo vya kujiunga na chuo kikuu lakini nimeshindwa kwa sababu sikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa kwa Vyombo Vya Habari Uendeshaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani wana JF kama kuna Mkaazi wa Zanzibar anaejua ama kujishughulisha na zao la Mwani kwa kilimo ama biashara naomba ani PM Tuzungumze. Ni muhimu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa jamaa wametoa nafasi za kazi pitieni hizi linl au gazeti la Dairy news la tarehe 04/07/2013...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Natafuta kazi ya kusimamia Hotel/Guest House,Ukumbi wa shughuli yeyote.Nina uzoefu mkubwa na najua kuweka standard (add values) nina uzoefu wa zaidi ya miaka minane katika ngazi mbalimbali hadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa ushauri jinsi ya kuchukua mikopo, wapi na wakati gani? na matumizi sahihi ya mikopo pls tuwasiliane!!!!! Kinga ni bora kuliko tiba..... 0787 090916 KOPA KWA SABABU MAALUM TU!!!!!!!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mhitimu wa shahada ya elimu (Bachelor of Education with Science) ktk masomo ya Chemistry na Biology. Anatafuta kazi ya kufundisha ktk shule za hapa DSM. Mtafute kwa namba yake ambayo ni 0752270583
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajamii forum natafuta kazi nipo mkoani mwanza nimesom procurement msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye;au anayeweza nisaidia kupata/kuniuzia laini yenye TGOPESA bei ntafika kwani tgo hawatoi uwakala mpya kwa sasa;please mwnye haitumii au kapumzka. ni chek kwa 0718247575 or...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya ku apply/kupata kazi Halliburton.Nimesikia jumamosi watakuwa UDSM kwa Interview ya recent graduate na Finalists kwa aliye na info zaidi atusaidie.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wana JF wenzangu, MIMI nimemaliza kidato cha sita (mchepuo wa PGM) mwaka huu na kufaulu vizuri. ninaomba kwa yeyote aliye na kazi kama kufundisha, au kazi za kutumia nguvu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirika letu la Sadiq Foundation lenye makao yake makuu Dar es salaam linatafuta mkufunzi wa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wetu wa ulinzi. SIFA ZA MUOMBAJI; 1. Awe Askari polisi au Mwanajeshi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa kwa Vyombo Vya Habari Uendeshaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
hii kitu inaniuma sana juzijuzi taasisi moja ya afya ilikua inahitaj vijana kwa ajili ya field mbalimbali vigezo havikua vikubwa sana na kwa bahat nzuri au mbaya walifanya intervew kwa vijana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwango cha elimu yangu ; nina shahad,(BAED)
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF! Mimi ni Graduate wa SOCIOLOGY,lakini tangu nihitimu sijapata hata mchongo wowote angalau hata sehemu ya kujitolea. Ndugu zangu naomba kwa yeyote mwenye msaada anisaidie! Pamoja...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom