Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
Hapana bwana yule jamaa alipelekwa department ya IT kama IT Assistant, lakini hata hivo CRDB ni full kujuana.Kama huna wa kukushika mkono pale bora utafute kazi kwingine,swala la vigezo sio shida cha muhimu uwe na mtu anayekufahamu sababu kuna jamaa namjua kapata kazi CRDB post ya assistant accountant wakati yeye ana advanced diploma in information technology..Kazi ni kwako
Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
kuwa mchagaJamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
Sijui utabadiri vipi kabila lako uwe wa kule upate kazi CRDB!piga shule, omba mungu, kokote kazi unapata. Hakuna wa kuziba ridhiki aliyeipanga mwenyezi mungu. Period!
crdb ww mchaga? na uchaga tu hautoshi lazima ushkwe mkono
Asante sana ndugu zangu,kuna mtu ndani ya CRDB bank anasema perfomance ktk vyeti inamata sana.Vp hapo?
ukiona mtu anazungumzia kabila ujue ni mfuasi wa CDM,
prove me wrong
Mkuu GPA inabidi iwe Upper Second preferebly 3.8 hii nilisikia mwenyewe kwa masikio yangu branch ya mnazi mmoja opp na access bank kama nimepatia jina owkei...sema design hiyo conversation niliyo i over head ni kama jamaa alikua anampigia pande mtu..so nikaconclude kwamba kujuana kupo..!!! kama vipi twenzetu bank zingine tu mkuu...!!!!!Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
kwani unafanya kazi sasa? nijibu please!Jamani mwenzenu natamani sana kufanya kazi na hii bank ila vigezo wanavyotaka sijui naomba mnijuze
Mkuu GPA inabidi iwe Upper Second preferebly 3.8 hii nilisikia mwenyewe kwa masikio yangu branch ya mnazi mmoja opp na access bank kama nimepatia jina owkei...sema design hiyo conversation niliyo i over head ni kama jamaa alikua anampigia pande mtu..so nikaconclude kwamba kujuana kupo..!!! kama vipi twenzetu bank zingine tu mkuu...!!!!!