Tangazo la Kazi - Meneja wa Club

Tangazo la Kazi - Meneja wa Club

Tiba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2008
Posts
4,607
Reaction score
3,191
Wana Jamvi, kuna jamaa yangu anatafuta meneja wa club ambayo ina function hall, guest house, jiko, parking ya magari kwa malipo na kuna disco kila ijumaa usiku. Hiyo club ipo Dar. Kwa yeyote anayemjua mtu mwenye uwezo wa kusimamia club kama hiyo kwa ufanisi, ani PM na kunipatia namba ya huyo meneja na mimi nitampigia nimpe namba ya mwenye club ili waongee.
 
Jamani mbona sipati PM, ina maana hakuna watu wanaotafuta kazi huko?
 
Nipe hiyo kazi nipo chuoni karibia ntafunga nikapoteze muda huu wa miezi miwili ninasomea bachelor of laws so nina uwezo mkubwa wa kumanage biashara kisheria na kwa njia nyingine
 
Wewe sijui kama jamaa atakukubali kwani anahitaji mtu wa permanent, sio wa kupita tu miezi miwili.
 
Poa mwana thn niPM ur number ili nikuconnect na jamaa mmoja
 
Wana Jamvi, kuna jamaa yangu anatafuta meneja wa club ambayo ina function hall, guest house, jiko, parking ya magari kwa malipo na kuna disco kila ijumaa usiku. Hiyo club ipo Dar. Kwa yeyote anayemjua mtu mwenye uwezo wa kusimamia club kama hiyo kwa ufanisi, ani PM na kunipatia namba ya huyo meneja na mimi nitampigia nimpe namba ya mwenye club ili waongee.

Mm niko tayari ila Ninasoma Degree na ninakaribia kumaliza,je stank ruhusu muda wa kusoma au tutaelewana.
Kama Yuko tayar mwambie anitafute kwa namba 0717059813
 
Mussa, kuna wengi wamenitumia PM kuulizia kama hii kazi bado ipo. Jana usiku nimewasiliana na mwenye club ambaye amesafiri jana hiyo hiyo na yeye alinieleza kwamba kati ya watu wanne waliojitokeza kuitaka hiyo kazi, ana uhakika atampata mmojawapo hivyo haitaji kufanya mazungumzo na watu wengine.

Kwa ufupi ni kwamba hii kazi haipo tena.

Asante mzee
 
kweli kazi za siku hizi si mchezo,wote wa humu wamekosa bora enzi za mwalimu
 
Nipe hiyo kazi nipo chuoni karibia ntafunga nikapoteze muda huu wa miezi miwili ninasomea bachelor of laws so nina uwezo mkubwa wa kumanage biashara kisheria na kwa njia nyingine

duh! utakuwa unasoma UDOM wewe!
yani badala ya kwenda mahakamani ku practice wewe unataka kwenda CLUB kuangalia CHUPI.
 
Back
Top Bottom