Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,437
- 13,782
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO
Kama unamfahamu au wewe mwenyewe ni mwalimu wa shule ya sekondari na unafanya mchakato wa kuhama kutoka Arusha Manispaa kwenda Moshi Manispaa basi hili linakuhusu:
Wasiliana na mhusika kupitia: 0767 658 305.
Anatafuta wa kubadilishana naye kituo cha kazi.
Moshi Technical anakotoka kuna nyumba ya mwalimu vyumba 3, umeme na maji.
Asante.