Thesnooperman
Member
- Jul 3, 2013
- 57
- 6
Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi yeyote halali angalau iwe na masilahi hasa maeneo ya dar,elimu yangu ni kidato cha tano,pia nina uzoefu ktk mauzo,unaweza kuwasiliana nami kwa email yangu herrysalum4@gmail.com au simu namba 0685763613