Mwalimu wa masomo ya ualimu (education) anatakiwa

Mwalimu wa masomo ya ualimu (education) anatakiwa

Don king

Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
13
Reaction score
5
​Anahitajika Mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha masomo ya UALIMU (EDUCATION COURSE) katika taasisi ya elimu ya juu.

*Mwombaji awe Arusha/ aweze kufanya kazi Arusha
*Mwombaji awe amehitimu elimu ngazi ya Shahada(Degree) ya ELIMU katika chuo kikuu kinachotambuliwa na serikali.

Kwa aliye tayari atume CV yake katika barua pepe hii:

macmayala@gmail.com

Mwisho wa kupokea CV ni tarehe 31 Julai 2013
 
Masomo gani na anatakiwa wapi?
 
atafanya kazi chuo gani?weka tangazo lako vzr!watu tuko tayari kufanya kazi!
 
atafanya kazi chuo gani?weka tangazo lako vzr!watu tuko tayari kufanya kazi!
 
jamani acheni kutempa na feelings za watu humu janvini, watu wanahitaji kazi halafu mtu anaweka taarifa isiyoeleweka kama hii, mimi kama mdau wa elimu, kuna aina kadhaa za UALIMU, MF.FALSAFA, SAIKOLOJIA, SOSHOLOJIA, ZANA, N.K SASA NI IPI NAZO KUNA NGAZI TOFAUTI SASA UALIMU WA NGAZI IPI?
 
Mimi nimesoma ualimu na philosophy (falsafa) pia geography nipeni mchongo
 
Wabongo bana... kama mtu unashida ya kazi maswali mengi ya nin.. si utume tu CV ukiwa shortlisted utajua kila kitu..ukiona hauridhik si unaachana nayo?..
 
Back
Top Bottom