Hongera kwa kuhitimu masomo.
Ushauri wangu, kwa vile kazi ya kutafuta kazi ni kazi pevu zaidi ya kazi yenyewe, ninakushauri wakati ukitafuta kazi ya kuajiriwa, tafuta vilevile kazi ya kujitolea. Hii ina faida nyingi ikiwemo kukupa fursa ya wewe kupata uzoefu, kuanza kufanyia kazi ulichofunza na pengine kupata nafasi ya wewe "kujiuza" (exposure and networking). Chukulia kipindi hicho kama sehemu ya Shule yako!
Mwisho, ukipata ajira, hata kama inakulipa mamilioni, chonde chonde, usiache kujiendeleza kitaaluma! Kuna Ma-Nesi wamejimbia kwenye Miradi ya Ukimwi, Chanjo, Malaria, Tohara kwa Wanaume, Damu Salama, n.k. wanapata good time ile mbaya kwa sababu ya Taaluma zao.
Otherwise, all the best!