walitoa anuani mkuu:
THE GENERAL MANAGER
MEZZANINE FLOOR,IPS BUILDING
NHC/PPF IPS BUILDING COMPANY LIMITED
P.O.BOX 72473
DSM
Hautakiwi kupeleka kwa mkono ila kama una mtu pale we nenda maana ndio mchezo wa pale na usijekushangaa ukienda pale ukakuta watu wanafanya interview za kizushi na wakati deadline bado,ni maeneo ya majengo ya ubalozi nadhani ni barabara ya JAMHURI,utakuta jengo lao linaitwa ips building ni tofauti na jengo lao lingine liliko makutano ya azikiwe na samora.
KILA LA HERI