Jamani naomba kuuliza,mbona kila nikituma application ya postal bank kupitia hiyo email address(recruitment@postalbank.co.tz) wanayotoa haiendi/Plz someone give me the soln if you have any!
Nimewatembelea makao makuu wanadai system yao ni mbovu ila email wanazipokea,nilipowauliza nitaamini vipi walisema sisi ndio tunakueleza na kwa wale ambao wametuma mara nyingi watazifuta zingine.
ukiona hivyo jua u don't qualify for the job so automatically the system rejects your so called 'application for the job'!!!sorry ooo!!!! but all in all, don't worry my dear kumbuka ule msemo usemao 'likuepukalo lina kheri na wewe'...
siyo ww tu.. hata mie nmekutana na hiyo issue.. nmeamua kupotezea.. kama n kweli wanareceive hizo mails au vp..
kitakachojili anajua Muumba!! kama ipo ipo tu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.