MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Ni namna gani ya kupata kazi wakuu? hasa kwa sasa ambao hatuna wakutushika mikono kwenye field zetu.
Simjui mtu yeyote kwenye makampuni na sina ndugu huko,mimi ni mtu wa singida,manyoni nimemaliza telecom eng. mwaka huu ,ngazi ya degree GPA 3.4,tokea nimemaliza mwezi july nilikua home singida nimerudi mjini kutafuta kazi yoyote itakayonfanya niishi mjini maana hali tete,sielewi nianzie wapi? Wenye ujuzi wa haya mambo tuambiane
Thanks