Kazi utumishi zinatoka lini?

Kazi utumishi zinatoka lini?

RC.

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
444
Reaction score
42
Jamani wanajamvi huu ni mwezi wa nane, na mwaka wa serikali unaanza mwezi wa saba,tulitarajia kutakuwa na ajira mpya kutoka utumishi lakini mpaka ninapoandika hapa,kimya kimezidi, kazi wanazotoa ni za watu wa masters uzoefu miaka kumi! sasa najiuliza kwa sauti je sisi tuliosoma degree ya kwanza, certificate na Diploma hatuhitajiki? au ndiyo wameshapeana na ndugu zao? naombeni jibu.
 
ndo somo umepewa kwamba kadegree kamoja hamna kitu sasa hv jipange kapige nyingne
 
si kweli kaka juzi wametoa nafasi za kazi deadline ilikuwa tarehe 20 wewe hukuona au
 
naomba link ya hizo kazi maana nimesubiri mpaka nimechoka@Zawadi91
 
Pole RC...nahisi wiki hii au mwanzo wa mwezi wa9 watatoa post nyingi tu za size yenu...be patient
 
Back
Top Bottom