wakuu hivi depo ya mwaka huu polisi wataondoka mwez wa ngapi maana naona form 4 na 6 majina ya kufanyiwa usaili yametoka tayari. Maana miezi hii ya mwisho unaweza ukaingia bushi kuchukua kuku wa kienyeji then ukirudi mjini unaambiwa mbona wenzako wameenda depo wiki mbili zilizo pita, then inakua balaaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.