Msichana wa kazi jijini Tanga.

Msichana wa kazi jijini Tanga.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau Jf, Natafuta msichana wa kazi mwenye umri wowote kikubwa awe msafi na mchapakazi,asiwe kikojozi na awe tayari kushi Tanga mjini.Mtoto ni 1 wa kiume miaka 2 na miezi 8 sasa.Natafuta msichana wa kuanza kazi mara moja.Pia awe na heshima kwa jamii nzima.Aliye tayari tuwasiliane 0787 140432..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom