Ufafanuzi please!

Ufafanuzi please!

SIMEON KATATANAMA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
479
Reaction score
277
Ni sababu zipi zinazopelekea taasisi ya Serikali kuamua baadhi ya kazi kutangazwa moja kwa moja kwenye media, na sababu zipi zinapelekea kupitishia tangazo utumishi? Mfano: wiki yapata 1 iliyopita MUHAS walitangaza nafasi za kazi direct gazetini na wiki hii wametangaza tena Post zingine kupitia utumishi. Mwenye uelewa anijuze tafadhali.
 
Nafasi zinazotangazwa na utumishi ni kwamba wanaoajiriwa na utumishi wanalipwa mishahara na Serikali moja kwa moja (Hazina). Wanaoajiriwa na MUHAS au agency yeyote ya serikali kama Ewura, Tacaids, TRA, Sumatra nk wanalipwa na hizo agencies moja kwa moja na si Hazina.

Kwa kifupi mtangazaji wa kazi ndie mgharamikiaji wa mshahara wako na stahiki zako zote. Mwingine anaweza kuongezea
 
Back
Top Bottom