Habari zenu wana JF. Nahitaji kujua utaratibu gani unatumiwa na Deloitte & Touche kwenye kutafuta waajariwa kwa ajili ya wateja wao. Kama umechaguliwa kwenye "short listed candidates", utaratibu wao unakuwa vipi? Kuna test zozote wanatoa ? Naomba mwenye ufahamu anisaidie.