Natafuta mtu aliyesomea ufagaji hasa wa kuku na awe na uzoefu wa ufugaji kuku wa kisasa na kienyeji, wa mayai na nyama. Ufugaji utafanyika Dar, mshahara maelewano. Wasiliana na mimi kupitia 0784 472397
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.