Tanzania posts corporation waanza kuita internal auditors


H

Harhombo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Messages
216
Points
0
Age
32
H

Harhombo

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2013
216 0
Wadau wale waliomba TPC nafasi za internal auditors wameanza kuita kwa kutuma email, siku ya written interview pale DUCE itakuwa 19 october.Kila la kheri wadau
 
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
653
Points
250
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
653 250
jamani anae fahamu chochote kuhusu hawa jamaa wa TPC na payments zao hasa ktk post ya postal controlor
 
K

kichaa

New Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
4
Points
20
K

kichaa

New Member
Joined Mar 31, 2011
4 20
Mwaka 2010 Assistant Postal controller alikuwa anapata 213000 kama take home
 

Forum statistics

Threads 1,295,958
Members 498,495
Posts 31,229,082
Top