Open university vipi?

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Mwenye taarifa zao vipi washaita kwa ajili ya interview au bado.
 
Wasi wasi wa nini?, kuwa na subira. kila jambo na wakati wake huwezi kulazimisha maji yapande mlima!
 
open university ni taasisi kamili na sio kama maybe shule za private zinatangaza kazi leo then kesho wanaita usaili.OUT ni kama unavoona tume ya ajira wakitangaza kazi lazima uwe mpole japo miezi miwili na nusu hapo ndo ukaulizie usaili.Sasa wewe zimepita tu wiki mbili unaanza kusumbua vile!
Tume ya ajira yenyewe kuna kazi deadline ya kuomba ilikuwa tar.25.7 hadi leo interview bado
 
Back
Top Bottom