Tume ya ajira na hiyo "certified certificates"

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Kila tangazo la kazi linalotolewa na tume ya ajira(psrs) wanasema vyeti viwe certified.
Tatzo langu ni hili,kuna kazi zilizotangazwa juzi tarehe 1.10 nimeomba mojawapo.ila vyeti vyangu nilishagongewa mihuri na hakimu nikascan,nilichokifanya niliprint tu vile vyeti nikaomba kazi.
Naomba kufahamishwa hyo inaruhusiwa au kila ukitaka kuomba kazi lzma uende kwa hakimu au wakili.
 
kazi niliyoomba ni ya tutorial assistant pale institute of adult education maana kabachelor kangu ni ka adult education and community developments
 
kwani iliandikwa tarehe?

ninachojua mm, wanataka hiyo copy ipigwe muhuri. na sio muhuri upigwe copy.
 
haikuandikwa tarehe na wala sio photocopy ila inaonekana kuwa imekuwa printed baada ya kuiscan
 
We wa Manase ndugu?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kila tangazo la kazi linalotolewa na tume ya ajira(psrs) wanasema vyeti viwe certified.
Tatzo langu ni hili,kuna kazi zilizotangazwa juzi tarehe 1.10 nimeomba mojawapo.ila vyeti vyangu nilishagongewa mihuri na hakimu nikascan,nilichokifanya niliprint tu vile vyeti nikaomba kazi.
Naomba kufahamishwa hyo inaruhusiwa au kila ukitaka kuomba kazi lzma uende kwa hakimu au wakili.

Huyo hakimu anajuaje vyeti ni halisi wakati hayuko baraza la mitihani? au hii ni aina ya ulaji mwingine wametafutiwa kama matrafiki?
 
ofcourse huku ni kuwatafutia mahakimu na mawakili ulaji maana km kwa wiki ukiapply mara tatu unatokwa na almost elfu30.pia shirika la posta linazidi kusurvive.
 
Kazi ipo jamani jana nimekwenda kwa hakimu anataka kila cheti 2000 nikazidisha mara 8 nikakuta 16000 mara kazi 4 nilizo kuwa na apply ikawa 64000 jamani kiama imekaribia
 
Huu ni ulaji na wala haukubaliki! Mahakim wanacertify vyeti copy bila kuona originals. Huu si ni upuuzi, halafu tume ya ajira inaendelea kukomalia watu wacertify vyeti.

My take; PSRS au mashirika mengine yawe yanahitaji vyeti originals tu kwa wasailiwa wanaofikia hatua ya Oral interview. Vinginevyo inabaki kuwa ni usumbufu na kupeana ulaji kwa mahakim pasipo ulazima wowote.
 
Ila wadau mimi nililouliza hamjanipatia jibu badala yake mmehama mada sasa mnalalamika
 
Toa upya copy kutoka original then peleka kucertify. vinginevyo haikubaliki kupeleka photocopy ya kucertify.
 
Kila tangazo la kazi linalotolewa na tume ya ajira(psrs) wanasema vyeti viwe certified.
Tatzo langu ni hili,kuna kazi zilizotangazwa juzi tarehe 1.10 nimeomba mojawapo.ila vyeti vyangu nilishagongewa mihuri na hakimu nikascan,nilichokifanya niliprint tu vile vyeti nikaomba kazi.
Naomba kufahamishwa hyo inaruhusiwa au kila ukitaka kuomba kazi lzma uende kwa hakimu au wakili.

NDG YANGU VYETI VINAVYOTAKIWA KUWA SATISFIED NI VYA WALE 2 WALIOSOMA NJE YA NCHI
MM NSHAFANYA NTERVIEW MARA KADHAA NA HAWA JAMAA,,NAWAFAHAM KIAC FLAN,,SO KM UMESOMA HPA TZ
TOA2 KOPI THEN UTUME HAKUNA CHA ZAID KINACHOHITAJIKA KM UMESOMA NJE PITA TCU WAKUFANYIE
CERTISFICATION THEN TIA TIM UTAPATA APENDAPO MUNGU.

Thnks,,
 
thanks kwa ufafanuzi mzuri pia.Mimi kaka ni wa hapahapa.
 
Me binafsi nimeshafanya interview kadhaa za utumishi na nyinginezo ambazo wanataka uweke "certified copies". Me nili-certify copy mara moja tu. Kilichofuata ni kutoa copy kutoka ktk certified copies. Cjajua kama ni bahati 2 inatokea kwa upande wangu au vp labda wadau wengine waje na mtazamo wao.
 
Inatakiwa usatify copy kila unapo-apply kazi. Vinginevyo njia nyingine ni hiyo ya kuscan copy ambazo ni satified na ukawa unaprint kila vinapohitajika.
 
Back
Top Bottom