Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,744
- 104,974
Habari za sasa wakuu.
Napenda kuandika post hii si kutangaza nafasi ya kazi wala kuomba ajira, ningependa tu kuongea kidogo na hawa walio katika katika ajira. Ila ata wewe mwenzangu na mimi unaeendelea kutafuta kazi unaweza isoma na kuchangia.
Wakubwa mlio katika ajira, mbona mmesahau mliko toka? Kwanini mmesahau kwamba na nyinyi kuna siku mlikua mnaangaika na kuzunguka kutafuta ajira? Tukiwa wawazi, wengi wenu mnachotufanyia sisi pindi tunpokuja kuleta barua by hand au via email au kwa posta si mambo mazuri.
Mfano hai upo. Juzi juzi kuna mwana jamvi jina kapuni humuhumu sijui yeye ni Hr au Secretary? Kaileta na kuianika wazi barua ya kuomba kazi (Nadhani cover letter) ya mshkaji hapa. Ebu vuta hisia ndio uniona wewe barua uliopeleka kmpuni X imenikw hapa. Ni sawa na umemtumia sms mpenzi wako hfu anaipost kama Status Facebook. Inauma sana... Hamuwezi jua kwanini barua zinazoandikwa zinakua vile.
Watafuta kazi wengi ni masikini/hatuna uwezo. Tunashindwa ata kumiliki laptop tumeishia kumiliki USB Flash tu ambamo CV na vyeti mbalimbali tulivoscan tumeviifadhi. Sasa basi, katika mizunguko tukiona tangazo, tunaenda cafe iliokaribu, unalipia muda nusu saa (jero) na kuanza kuandika chapchap. Ili kuenda na muda (nusu saa), inabidi kila kitakachokuja kichwani nikitupie bila kiedit, hafu mud utakaobaki nitumie kusend full email yenye hiyo cover letter na vilivomo kwenye flash (CV &certificates). Mara chache sana nusu saa inatosha, kama sio huruma za wenye cafe, zingekua haziji kabisa au zinakuja hazijakamilika (Bora ije nusu kuliko kutofika). Sasa ajabu mkifungua mnacheeka na kama haitoshi mnakuja post humu (Hatuna uhakika kama fb hamuziweki pia).
Inauma mazee.
Sana tena.
Sasa ukisema upeleke application manually (by hand) ndio vikwazo sasa. Gharama nilizo tumia cafe kwa kutype barua, kuprint na kupiga copy vyeti, bahasha na nauli juu, muda mwingine/mwingi vinaenda bure. Ata kwa hao ma-Hr/Managers haifiki. Unafika getini mlinzi kikwazo. Hataki kukuelewa uingie ndani, ukimuachia yeye aipeleke ndio basi tena. Ushaliwa. Haifiki (Wachache wanafikisha).
Ukipona hapa ukaingia ndani, hao ma-secretary mi ndio sisemi. Maana wengi nadhani msha-experience mabalaa yao.
Wakipokea nao hawafikishi.
Hivi nani mtetezi wa sisi waangaikaji?
Ata hao mameneja na ma-Hr wengine ni wale wale tu kasoro majina. Mtu unamtumia email atakujibu tu hakuna. Namba za simu zipo ata kunitumia sms kusema japo 'maombi yako tumeyapata, tukiwa na vacancy tutayrejea tuone kama una-qualify' Jamani. zaidi zaidi wakiona unawsumbua na emails wankuweka spam box. We ndio kapuni.
Mfano mimi leo nimehesabia sent items tokea mwezi july (mara baada tu ya ku-graduate nikaanza mchakto) nimeona ziko 144 (karibia 130 za kuomba kazi, hizo 14 ndio za mishe zangu binafsi), walizo jibu ziko 8, kati yao 4 ni auto-reply (makampuni kibao wana hii system ya kujibiw na computer) 2 ni F-demon (nimekosea eti email, dah) na hizo zilizobaki (sio nyingi, 2) jamaa wamejibu, ila wamesema wao hawahusiki na kitengo cha ajira so wamenipa emails za whusika, nime apply, mambo yale yale. kimyaaahh..
Sasa swala langu. Hivi nyie majamaa hakupitiaga zama hizi za kuangaika? Au ndio mlipitia so mnalipiza kisasi kwamb na sisi tungaike km mlivoangaika nyie?
Yaani siku hizi ukienda ofisini ukmkuta in-charge ni m'bongo, mara mia umkute mzungu au mchina etc, wale waelewa.
Kwanini msingekua mnatufanyia fair muda huu ili baadae tuwe kama ndugu. Kuna kesho wewe ukakwama mm nazikumbuka fadhila zako nakuinua.
Fadhila sio hadi unipe ajia, ata kuniruhusu nikingia getini (walinzi) au ukaniruhusu nikjieleza kwa Manager (ma-secretary) wewe unakua umesha play your part, nishindwe mimi.
Ila mnachotufanyia, dah.
Kumbukeni, mla maganda anakumbuka zaidi kuliko yule mla ndizi.
Ukatili u-freemason utakao nifanyia leo eneo lako la kazi, sita kaa nisahau. Nitawasave wote. Ata mkiwa mia.
Tutaonana tu siku anga zangu, kudadeki, ata kama sio hapa Tz, au ata kama sio hapa Duniani.
Guys duniani tunakatisha tu. Nisaidie leo ipo siku I'll watch your bck. Unaweza siku ukjipindua uchochoroni kwetu, nikakuta wana wanataka kukufanyia mbaya, nikawatuliza. Ndio dunia inaenda.
Ni haya tu kwenu.
Wale watafuta ajira tusikate tamaa, pamoja na poor response ya hawa wakuu tuzidi kaza tu.
Ipo siku. Ata kama ni decades kadhaa zijazo. Sio wote najua watatujibu vibaya, ipo siku utaingia kwenye office utakuta watu makini watajua value yako. Wewe ni mgodi uliokosa muwezekaji.
Thanks.
#Kwa hisani ya watu wa Wamerakani.