Shirika la posta limeita watu kwenye usaili wa pili??

Shirika la posta limeita watu kwenye usaili wa pili??

miminho

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
46
Reaction score
7
Wadau kwa wale waliofanya interview jumamosi ya 20/10/2013 pale duce kwa post ya internal Auditor ktk IT , Procurement, Accountant ,na post zingne ,naomba kujua kama watu wameitwa kwa awamu ya pili
 
Wadau kwa wale waliofanya interview jumamosi ya 20/10/2013 pale duce kwa post ya internal Auditor ktk IT , Procurement, Accountant ,na post zingne ,naomba kujua kama watu wameitwa kwa awamu ya pili

Ndio tayari na kesho ndo oral inafanyika saa 2 asubuh ofisini kwao.wameita tangu jana kwa kupiga simu tu.
 
bado hawajaita aisee! nmecheki na ofisi ya utumishi ya posta kwa njia ya simu, wamesema wiki ijayo wataachia na wataweka kwenye website yao. ilikua trh 19 si trh 20
 
Anae Sema tayRi ana uhakika au anatuweka viroho juu tu
 
Anae Sema tayRi ana uhakika au anatuweka viroho juu tu
uwekwe roho juu kwan ww roho yako iko chini? acha kushushupatika ww.uombe :help: afu tena ujifanye huamini uambiwacho.utajibeba watu jana hureeee......
 
Back
Top Bottom