Sales agents 2, mwenye diploma/certificate ya accounts, receiptionist, na technician

Sales agents 2, mwenye diploma/certificate ya accounts, receiptionist, na technician

kakaamiye

Senior Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
179
Reaction score
90
NINAHITAJI WAFUATAO:
1. SALES AGENTS 2 - WANAOJUA MARKETING NA WENYE UZOEFU WA KAZI USIOPUNGUA MWAKA MMOJA, ANGALAU WAWE NA DIPLOMA YA MASOKO
2. MMOJA MWENYE DIPLOMA AU CRTIFICATE YA ACCOUNTS MWENYE UZOEFU WA KAZI ZA KIHASIBU USIOPUNGUA MWAKA MMOJA
3. RECEIPTIONIST MMOJA - AWE NA ELIMU ISIYOPUNGUA KIDATO CHA NNE, LUGHA FASAHA YA KISWAHILI NA KIINGEREZA NA AWE ANAELEWA MAJUKUMU YA KAZI HIYO.
4. TECHNICIAN-1 UPANDE WA ELECTRICAL AWE NA MZOEFU NA UWEZO WA KUONGOZA TEAM YA WATU WATATU AU WANNE,
5. HEAD OF OPERATIONS- YEYOTE MWENYE KUANZIA DIPLOMA MWENYE UZOEFU WA MASUALA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA KAZI

Kwa wenye kuhitaji kazi hizo watume CV kwenye email ifuatayo james209974@yahoo.com

tafandhali andika nafasi unayoomba

MWISHO WA MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE 31/10/2013
 
Jamani nipatieni cv, jina la kampuni sitaliweka kwa sasa hizi kazi kuna mtu kaniassign kutafuta hao watu ana kampuni na inahitaji wafanyakazi.

Angalizo ninaomba sifa zilizoandikwa zizingatiwe wenge masters na ma-degree/advanced diploma no!!!!!!!!!!!!!!

Please nipatieni cv wenye kuhitaji hizo kazi!!!!!!!!!!!!
 
Ase yaani huu uzoefu wa kazi mbona unawatesa wengi?mtu katika chuo sasa uzoefu anautoa wapi?nisaidieni kwa hilo embu...
 
Kakaamiye hili swala la uzoefu inakuwaje?na mhitimu wa chuo atalipata wapi?au inakuwaje maana sielewi mimi...
 
Jamani nipatieni cv, jina la kampuni sitaliweka kwa sasa hizi kazi kuna mtu kaniassign kutafuta hao watu ana kampuni na inahitaji wafanyakazi.

Angalizo ninaomba sifa zilizoandikwa zizingatiwe wenge masters na ma-degree/advanced diploma no!!!!!!!!!!!!!!

Please nipatieni cv wenye kuhitaji hizo kazi!!!!!!!!!!!!

tatizo ni huo uzoefu wa mwaka mmoja mie ndio nimemaliza chuo uzoefu nilionao labda wa field wa miezi miwili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom