Police kimeiva

Police kimeiva

Nadhani itakua ijumaa. Ikipita hapo kunauwezekano vijana wa Form4 na 6 wakaanza kuamsha kwanza then magraduate wakafuata mwezi mmoja baadae. Hii inauzuri wake 7bu inatupunguzia siku za kukaa depo. Over
 
yani ku-upload file tu hadi tofuti isipatikane!!!! acha kudhalilisha jeshi letu tukufu wewe
 
Hivi hizo pdf wanazo upload ni nzito kama magunia ya viazi au?manake mpaka leo tovuti haipatikani na hakuna ata mmoja mwenye info za uhakika.Kwa walio jikoni watujuze tafadhali
 
Dalili ya mvua ni mawingu! Haijawai tokea hata mwaka mmoja wakafanya usahili mikoan kwa form 4 na 6 wakaambiwa na siku ya kurepot kwenda depo bila kuwepo graduet wa vyuo. In short kwa batch ya mwaka huu graduet wa vyuo hawatakuepo. Labda intake ya mwaka ujao. Cha msingi ni kutafuta plan B.
 
Wacha kudanganya wenzio. Au wewe ndo SSP Advera Senso!???
 
Back
Top Bottom