Nataguta kazi ya Office manager / executive assistant /

mamsapu

Senior Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
111
Reaction score
25
Habari JF.Natafuta sana kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka 2 na ni graduate in Business Administration. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia. Nitashukuru. Ningependelea kama zipatikane za hapa dar es salaam coz nina familia hapa. Nawakilisha.
 
Duh! kwa uandishi huu (Nataguta & uzoefu WA)!!!!!! Nakutakia kila la kheri mkuu
 
Meneja gani hata kuandika hujui?
 
Habari JF.Natafuta sana kazi tajwa hapo juu. Nina uzoefu WA miaka 2 na ni graduate in Business Administration. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia. Nitashukuru. Ningependelea kama zipatikane za hapa dar es salaam coz nina familia hapa. Nawakilisha.

Haya Angalia hizi hapa. >>>> Tanzania Jobs
 
Back
Top Bottom