Ekikunila Senior Member Joined Mar 25, 2013 Posts 120 Reaction score 35 Oct 29, 2013 #1 Naomba kujua office za hiyo vipajilink(on behalf of the crient) je wanashugulika na nini na ofisi zao zipo wapi? mwenye kujua anisaidie
Naomba kujua office za hiyo vipajilink(on behalf of the crient) je wanashugulika na nini na ofisi zao zipo wapi? mwenye kujua anisaidie
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,937 Reaction score 8,358 Oct 29, 2013 #2 Ni matapeli kama walivyo ero link, wapo maaeneo ya moroco dsm (new b'moyo rd)
Ekikunila Senior Member Joined Mar 25, 2013 Posts 120 Reaction score 35 Oct 29, 2013 Thread starter #3 dyuteromaikota said: Ni matapeli kama walivyo ero link, wapo maaeneo ya moroco dsm (new b'moyo rd) Click to expand... ok kiongozi nashukuru naona saiv ajira imekuwa ngumu matapeli wanashinda kwenye mitandao kuibia watu
dyuteromaikota said: Ni matapeli kama walivyo ero link, wapo maaeneo ya moroco dsm (new b'moyo rd) Click to expand... ok kiongozi nashukuru naona saiv ajira imekuwa ngumu matapeli wanashinda kwenye mitandao kuibia watu