Interview Plan International

Interview Plan International

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari zenu wana jamvi...
Vp kwa mwenye kujua chochote kuhusu matokeo ya interview ya data entry clerk ilofanyika tar 10 october,naomba anijuze.
Natanguliza shukrani zangu...
 
Habari zenu wana jamvi...
Vp kwa mwenye kujua chochote kuhusu matokeo ya interview ya data entry clerk ilofanyika tar 10 october,naomba anijuze.
Natanguliza shukrani zangu!

Daaah na hii nayo imekula kwangu, applications ambazo nimeishatuma PLAN ni za kumwaga lakini hata moja sijawahiitwa, by the way I got this from an insider mtu tayari kashaajiriwa
 
Daaah na hii nayo imekula kwangu, applications ambazo nimeishatuma PLAN ni za kumwaga lakini hata moja sijawahiitwa, by the way I got this from an insider mtu tayari kashaajiriwa

Pole sana mkuu,usikate tamaa lkn...
Vp unaweza ukanisaidia kufuatilia kwa huyo mtu kama wameshaajiri then unijulishe?
Natanguliza shukrani mkuu!
 
waungwana karibuni kwa mwenye kujua chochote...
 
Back
Top Bottom