Majina yako gazeti la majira ila kama kuna mtu ana weza upload hapa basi atakuwa amefanya jambo jema kwani kuna members wengi sana humu waliomba.
Walioitwa kwenye huo usaili nawatakieni heri...
Poleni na majukumu wanajf!nmepigiwa cm Leo asubuh access bank wananiita interview j.3 ya loan officer...niambien jamani inakuwajekuwaje na maswali Yao?ahsanteni
habari, wanajf naomba msaada kwa yeyote alieapply tanzania postal bank hizo email zimeenda..me nimetuma saana ila zinakataa kabisa.. narudishiwa email kuwa zimekataa..msaaada!!
Pata ajira bila kuacha ajira yako ya sasa ili kujiimalishia kipato Earn 10$ Per Task online Job within 30 Seconds | Online Income from Easy Task and work!
JAMANI HIVI INAMCHUKUA MTU MUDA KIASI GANI HABARI YOYOTE ILIYOKUVUTIA HUMU KWENYE FORUM?!..... HABARI INAWEZA KUKUVUTIA SANA NA KIKUBWA KINACHONISHANGAZA NI IDADI YA GUESTS!!! KILA UKIANGALIA...
kWA MAHITAJI YAKO YOTE YA GARDEN ZA OFISINI,NYUMBANI,MASHULENI AU HATA KWENYE MACAMPSITE WASILIANA NA YEGO BROTHERS GROUP WATAALAMU WALIOBOBEA KATIKA FANI HII KWA ZAIDI YA MIAKA 13 NA...
Ninahitaji mtu wa kuuza duka la dawa muhimu duka liko Mabibo mwisho,mtu huyo awe ni mdada anaejiheshimu na muadilifu katika kazi pia awe amepata mafunzo ya kufanya kazi hii.Mshahara ni...
Safety health and environment
Msaada kama Kuna mtu anajua Chuo chochote tz kinafundiasha.coursehiyo naombeni kujua.Course hiyo inaweza kuwa ndani ya Risk management!!!!!!!
0759777493
Ni medewell health centre iliyopo kibaha mpakani,karibu na mizani,anahitajika tabibu(clinical officer) mwenye diploma na mtu wa maabara (labaratory assistant) full time, kwa atakayekuwa tayari...
Ndugu wa Jf usipuuze fursa hii. PERFECT APPLICATION wanakulipa kila utumiapo internet. Pata zaid ya Dola 5000 kwa mwez kila utumiapo PERFECT APPLICATION. Hakika hii siya kukosa, uwe ofsini...
Wana jf ktambo jeshi la polisi wametoa list ya graduates na ufundi stad walioitwa kufanyiwa usaili ingia website ya polisi ucheki jina lako source ni www.policeforce.go.tz
Wadau..nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa wa Mott Mc Donald....kama operation support assistant. Kwa mwenye info kuhusu hawa jamaa...anifahamishe na ofisi zao kwa hapa dar zipo wapi...
Pamoja na shida tulizonazo watanzania wengine wanatumia oppotunity hiyo kuwatapeli watanzania wanaotafuta kazi.
UPLINKY ni moja ya N.G.O inayotumia njia hiyo (shortly ni matapeli) ambao wanadeal...
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili wahitimu walioorodheshwa hapa chini wa vyuo vya Elimu ya Juu na vya Ufundi Stadi.
Usaili utafanyika kuanzia tarehe 11/11/2003 hadi tarehe...
Ndugu zangu ma Hr wa logistics company naombeni msaada wenu naumia sana huku mtaani.Mkinipatia nafasi ya hata ya ukarani au dispatch officer mi nitashukuru sana.Najua sina experience na hizo kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.