Em kuwa sirias watatumiwaje email wakati wanachotakiwa kufanya ni kupost list nzima ya majina ya watu waliochaguliwa maana si watu wote wana acces ya net bwana plz ndugu be seriou acha kututia presha
arno labda list watatoa ila marafiki zangu wawili tuliomba nao..wametumiwa katika email..ci unakumbuka zile form kulikuwa kuna sehemu ya kujaza email...tuvute subira pengine kesho au week hii watatoa list
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.