Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau naomba mwenye kujua hili anidadafulie vzri.
Mimi nina bachelor ya adults education and community development na kiu yangu ni kufanya kazi taasisi ya elimu ya watu wazima ili nkawaelimishe watu wazima.
Je nikimwandikia director wa taasisi kumuomba kazi ya kufundisha pale hasa TUTORIAL ASSISTANT hata kama ni temporary anaweza niajiri?Kama kuna mwenye details za taasisi hii katika hili anisaidie.