nisaidieni hili

unachoogopa hasa ni nini? Labda nianze kwa kukuuliza hiyo kazi umeipataje pataje? Ulifanya usaili? Na kama haukufanya huyo Mzee alikujuaje? Na kama c ndugu yako, mna mahusiano gani? Ukiweza kujibu hayo maswali vizuri tutajua kama unaiweza hiyo kazi au laah!
 
unachoogopa hasa ni nini? Labda nianze kwa kukuuliza hiyo kazi umeipataje pataje? Ulifanya usaili? Na kama haukufanya huyo Mzee alikujuaje? Na kama c ndugu yako, mna mahusiano gani? Ukiweza kujibu hayo maswali



vizuri tutajua kama unaiweza hiyo kazi au laah,QUOTE]

ni hvii...nlijitoleaga kufanya kaz na mzee mmoja ambae ni accountant(coy binafsi)..nlikuwa msaidz wake... mzee ambae anataka kuniajiri tulimfanyia
kaz yake yakumfungia mahesabu kwenye restaurant yake..akawahi kumwambia
yule boss wangu kwamba nmempenda huyu dada ningependa kufanyanae kazi! Npe cv yake...boss wangu akampa...lkn akawa kimyaaaa! Baada ya mda me nkaacha ile kaz kwa yule mzee baada ya nauli kuniishia..na alikuwa hanpi hata kumi!Jana wakat napitapita na cv zangu huko town nkakutananae huu mzee anaetaka kuniajiri akaniita tukaingia ofsn kwake tukaongea...akanambia anahtaj kufanyakaz na mimi....ndo km ivo ndugu yangu! C ndugu yangu
 
Fanya maamuzi ya haraka kijana bahati haiji mara mbili kazi utaijua huko huko....nenda kapige zigo...kuna watu humu wana dhiki ya kazi hatari kwa iyo wewe ukiwa mzembe tu wanakugeuka......Mchelea mwana kulia hulia yeye.
 
Jiandae kwa yote kaz na huduma kwa wateja kuunganishwa vfurushi kma Min kabaang
 
Back
Top Bottom