Jkt

Jkt

odindo

Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
55
Reaction score
8
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!
 
Kwan wao wamepanga kuanzia miaka mingapi hadi miaka mingapi?
 
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!

ili iwe rahisi kwa fresh recruits wenye unri mdogo kuendelezwa elimu ya kijeshi i.e kupokea mafunzo kwa uwepesi
 
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!

acha uwongo nani anapenda kujitolea tena mateso{mazoezi ya kijeshi} bila kulipwa? Wengi wanategemea kujitolea kwa kujua wanapata ajira jwtz, polisi, tanapa nk
 
mimi nimemaliza chuo ila nimevuka miaka 23 kesho napeleka maombivipi watanichukua
 
Hawakuchukui kama unapitia mkoani . Ila ukipata from kutoka makao adi graduate wanapewa nafasi
 
Back
Top Bottom