Bandugu naomba yeyote anayejua au aliyewahi kufanya/kujaribu kazi online anisaidie. Kazi kama "online writing jobs", au " paid social media jobs" . Je ni kazi za kweli au utapeli?
Bandugu naomba yeyote anayejua au aliyewahi kufanya/kujaribu kazi online anisaidie. Kazi kama "online writing jobs", au " paid social media jobs" . Je ni kazi za kweli au utapeli?
Ni za kweli mkuu ingawaje sio zote kuna wengine matapeli wanaisoma cv yako then wanakutumia msg uwatumie pesa kidogo kwenye cmu ili wakupitishe. unahitaji kuwa makini sana ila mimi nishaitwa kwenye Interview nyingi tu kupitia mitandao...Jaribu bahati yako,,,,,ingia zoomtanzania, kazibongo, etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.