Habari wadau. Mwenye update na hii nafasi ya ICT Officer. Interview it was November 2013...
me nlifanya ya customer care was 12.12.2013 na cna updates zzte zile...pengine watu Wako mzigoni saiz
Mkuu unamaanisha ya ICTO au customer care...nafikir KORINO atakujuza
Mpaka Masebu ......aweke wa kwake interview geresha........hesabu maumivu.
Mpaka Masebu ......aweke wa kwake interview geresha........hesabu maumivu.
masebu ndio anayeamua au bodi,ishi kwa imani na kupambana mengne yote muachie mungu,kuna rafk yangu alikaa mtaani miaka 3 mpaka akaanzisha biashara ya mahnd,lakin siku moja akabahatka akapata job bot.Sasa amepanda cheo,usiogope