mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
wakuu kwa wale waliofanya interview ya hawa jamaa pale msimbaz tar 02/01/2014 nafasi ya client officer,client assistant,banktaller VP wameshaita oral interview
thankz kwa kutujuza mkuu blessed maana mm nilipiga nkaona kmya mpaka Leo