Ajira Wizarani

Ajira Wizarani

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Wadau Utumishi haijatangaza kazi za mawizarani kwa mda mrefu sasa hii inaweza kua imesababishwa na nn? Na ni kipindi gani basi kazi hizo za kada mbalimbali zinaweza kutangazwa.
 
Back
Top Bottom