As heading above state
Jordan university college of morogoro
invite you
to apply for announced vacancies
if you meet qualifications set by the university
for more information vist their...
gari, saloon aina ya mazda famillia, lenye full registration, comprehensive insurance, na linalokunywa mafuta kwa heshima linauzwa.
ni miezi mitatu tu tangu lipokelewe kutoka japan.
tembelea...
Habari wadau,
Kuna kazi zilitangazwa na sekretariat ya ajira tukaomba wengi mwezi wa 5 mwaka 2012 then tukaitwa written interview mwezi wa 12 mwaka huo huo na baada ya siku 3 tukaenda kufanya Oral...
ndugu wanajamii nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka,naombeni ushauri jinsi gani kazi hii inaweza kufanyika na wananchi wakachangia kwa mwezi,hapa naweza kucreate ajira kibao.
Hizi ni nafasi 5 kati ya nafasi 17 zilizotangazwa leo, kuona nafasi zote bofya hapa
JOB TITTLE: Program Officer, Monitoring & Evaluation
REPORTS TO: Senior Program Officer, Monitoring &...
PAID INTERNSHIP
Organization Description
DOT is a leading international social enterprise headquartered in Canada with local operations in 14 countries around the globe, including Tanzania...
Programme Assistant at UN Capital Development Fund
Duties and Responsibilities
Support to Programme Management: 30%:
Support the CTA in the development, monitoring and implementation of the LFI...
nachukia sana hii nchi kutokana na yanayoendelea....wanasiasa na viongozi wanajilimbikizia mali huku vijana tunahangaika bila ajira..wanasiasa na viongozi wanaajiri ndugu zao na vimada vyao ngoja...
Natafuta kazi ya Houseboy kwa Mzungu, au hata kwa mtu yeyote anayelipa mshahara mzur.kwa yeyote anayeweza kuniunganisha na mzungu anayehitaj mfanyakaz wa kiume wa nyumban anitafute kupitia...
Natumaini wote ni wazima
Mwaka jana mwanzoni niliitwa kwenye interview na PSRS kwaajili ya post kwenye wizara flan, sasa nikapass interview ya written then nikaitwa tena for oral baada kama ya...
Habari Ndugu zangu,
Kwa wale wanaofanya biashara za mazao and Additive & Premix Naomba Link ambayo nitaweza kujua prices za kila Siku katika soko la mazao hapa Tanzania.
Natanguliza shukrani...
Kazi yenyewe ni "slots attendant",lengo langu ni kujua watu wanaofanya kazi hii kwenye hotel kubwa za kitalii wanalipwa kiasi gani mana nimeitwa kwenye usaili wadau,naombeni msaada tafadhali
habari wana jf,
kidato cha 6 yeyote toka 1998 - 2013 sayansi au hasabu mwenye subsiduary (s) 2 aombe mafunzo taraji ya ualimu ngazi ya stashahada mwisho wa kutuma 28/2/14 au tembelea United...
Bado tuna Nafasi za Geologist engineers ,tafadhali Kama una ndugu Jamaa au rafiki au wewe mwenyewe ni geologist tuma cv yako au namba yako ya Simu tuu kwa info@lenjen.co.tz
Wakuu kuna kazi za assistant education officer pale Kibaha education Centre ziliombwa tangu July mwaka jana.
Leo wameita usaili wiki ijayo na mimi naenda kufanya usaili kwa ajili ya somo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.