Sam.gam
Member
- Jan 19, 2014
- 14
- 1
Natafuta kazi ya Houseboy kwa Mzungu, au hata kwa mtu yeyote anayelipa mshahara mzur.kwa yeyote anayeweza kuniunganisha na mzungu anayehitaj mfanyakaz wa kiume wa nyumban anitafute kupitia namb,zipo chini kabisa.Jina langu Samson,miaka 23,Elimu form 4,Naishi dar es salaam.Kama una shida na mfanyakaz wa kiume nitafute kupitia namb 0654535074 au 0759631190 nko tayar,Thanks.