Ni miaka sasa inakata tangu nimalize masomo ya law kwa ngazi za kutosha na kuajiriwa ajabu hatuoni serikali ikitanagaza nafasi za kazi kwa wanasheria na classmates wangu wengi nao nikama mimi...
wanajamvi habarini, mm ni msichana niliemaliza bachelor of arts in public relations and marketing natafuta kazi yeyote ya uhalali ht km ni hotel kubwa as a receptionist nipo tyr kuliko kuendelea...
Dear JF Members,
I am a lady of 32 years, having ten years experience working as Personal Secretary/Administrator,
I am now looking for job, my mobile no. is 0762238308.
Thanking you...
Habari wakuu,
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia business school kimekuwa kikiwatafutia internship wanafunzi wake katika mashirika mbali mbali zikiwepo banks n.k.... wanaofanikiwa kupata...
Hatimaye Mburahati primary school ameitwa kwa interview zitakazofanyika punde, Sasa najiuliza hili ni jina la shule au jina la mtu?, kama la shule hawajanitendea haki kabisa!
GRADUATE INTERNSHIP PROVISION (GRIP) FACILITY
Attn: All UDSM graduates (2013 finalists),
We are now accepting applications for GraduateInternship Provision (GRIP) Facility from all...
Hawa jamaa nilifanya usaili wao mwaka 2012 kada WEO II iliyofanyika Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora, tulikuwa 20 tukafanya written interview tukachujwa tukabaki watano, tukafanya oral interview...
pccb wameshindwa kuwa na utaratibu mzuri wa kukusanya mitiani mpaka umepelekea watu kupiga chabo na kugoogle nxt tym mjilekebishe kwenye usimamizi sio mnawaambia watu wasimame wote kwenda kukusanya
Nimepata kazi sehemu mbili kwa wakati mmoja. Moja ni kwenye private company ya nje ndio inataka kuanza kazi nchini. na ofisi itakuwa hapa Dar es Salaam.
Nyingine ni kwenye shirika la umma lakini...
Wanabodi,kuna kazi walitoa hawa Mamlaka ya Anga Tanzania toka mwaka jana,vipi kuna mtu amepata tetesi juu ya usaili wake?je walishaita watu au ndio yale mambo ya kimya kimyaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.