Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

wakuu kama kuna m2 mwenye update za usaili uliofanyika SUA mwez wa 12 atujuze.
0 Reactions
0 Replies
890 Views
kama uko na sehemu unayoijua walikuwa wanataka mtu wa kufundsha maswala ya computer niko . SKILLS- BASIC CERTIFICATEIN IN INTERNATION COMPUTER DRIVIN LICENCE [ICDL] am full organised with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI LA ZIMA MOTO NA UOKOAJI LIMETANGAZA NAFASI ZA KAZI KIBAO .1 KONSTEBO WA FIRE 517 .2 KOPLO WA FIRE 190 na hizi za mwisho ni kwa ajili ya watu wenye degree 103 source habari leo newspaper
2 Reactions
31 Replies
15K Views
jamani wadau, naona siku zinazidi kuenda...kazi zilizotolewa na zantel washaita watu kwa interview?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta kazi yoyote inayohusiana na maswala ya computer iwe ya muda mrefu au mfupi zote nipo tayari nina uzoefu wa kutosha katika maswala ya Graphics design,Data base design &...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mwenye taarifa za hali halisi ndani ya jeshi la zima moto atushirikishe,issue kama posho na mishahara kwa ngazi ya maofisa(mkaguzi msaidizi)
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Company: Jeshi la Zima moto na uokoaji Position: Sajini Wa Zimamoto na Uokoaji (Sergeant of Fire and Rescue)-Nafasi 190 Location: Dar es Salaam Deadline :Feb 1 2014 Sifa za Mwombaji. Bofya/click...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Role Purpose Design platforms and system architecture to support our Administrative Activities like Mediation, Provisioning, Fraud, Interconnection, Procurement, Inventory Management, Accounting...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
jamani nimemaliza diploma ya procurement nataka nitume maombi ya ku volunteer ktk halmashauri,hospital nk. Msaada wangu jinsi ya kuandika na je nitumie lugha gani?
0 Reactions
3 Replies
21K Views
WAREHOUSE SUPERVISOR Qualifications: Bachelor degree in warehousing or Materials Management from an accredited institution Apply: buzrecruitment@africanbarrickgold.com Details: Mwananchi 17...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
JOB TITTLE:CREDIT COLLECTION OFFICER(3 POSITIONS) REPORTING TO:CREDIT MANAGER DUTY STATION:DAR ES SALAAM Responsibilities: -Ensure that the highest standard of loan's book quality is maintained...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuweni teyari mkao wa kula kwa wale walioomba stamico re advertised posion mda wowote majina tataachiwa ,kulikuwa na mchakato wa kumtafuta director general na teyari ,pia wale wa interview ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu habar zenu? napenda kuwakumbusha graduate wote kuwa jumamosi hii ya tarehe 25/01/2014, saa 2:30 asubuhi,tukutane pale NAKIETE PHAMANCY-MWENGE,kwenye kikao cha pili cha kujadili utekeleza wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POSITION: MARKETING MANAGER REPORTS TO: COMMERCIAL DIRECTOR DUTY STATION: DAR ES SALAAM You will be reporting to Commercial Director- Precision Air Services Ltd ROLE PURPOSE STATEMENT...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wapendwa mimi nimemaliza na kutunukiwa degree of Bachelor of Science in Biology(NATURAL SCIENCE). Naombeni kama kuna mtu anayefahamu sehemu ambayo kuna kazi imetangazwa which is relevant to my...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Trusted by the world’s leading earners & professionals get paid for visits helps young professionals & earners - large & small - collect better, more useful data...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii taasisi ilitangaza nafasi za kazi mwaka jana za teller na credit officers ,kwa mwenye taarifa atujuze zimeishia wapi au bado hawajaita? wadau!Shukrani
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nafasi zifuatazo bado zipo wazi, Deadline 11, jan 2014 MARKETING DIRECTOR (ZANTEL) SENIOR LEGAL MANAGER(ZANTEL) TAX MANAGER (ZANTEL) SENIOR FINANCE MANAGER – REVENUE SUPPORT (ZANTEL) BUSINESS...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
habari jamani, nauliza mwenye info za nafasi za kazi zilizotangazwa na Tanroad mkoani kigoma kuna mwenyekujua lolote au inteview tayari maana hii nchi majanga tupu! :Naomba kuwasilisha mjadala:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Elimu ni kidato cha 6,alikuwa akifanya bachelor nchi jiran ila kunamatatizo yamejitokeza akashindwa kuafford expences,ndo kwanza alikuwa anamalizia mwaka wa kwanza.Anatafuta kazi itayomuwezesha...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Back
Top Bottom