ndugu wanajamii nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka,naombeni ushauri jinsi gani kazi hii inaweza kufanyika na wananchi wakachangia kwa mwezi,hapa naweza kucreate ajira kibao.
ndugu wanajamii nimeanzisha kampuni ya kuzoa taka,naombeni ushauri jinsi gani kazi hii inaweza kufanyika na wananchi wakachangia kwa mwezi,hapa naweza kucreate ajira kibao.
mkuu nilikuwa n wazo kam lako, nikalifanyia kaz lakin diwan w ccm akanizima, kwanza aliniuliza utanipa sh. ngapi? nikamwambia 1 milion, jamaa si akashtuka kuona kuombe hil dili, akataka 5m, bac akaniwekea mizengwe, so bonge la dili. ngoja ni pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.